Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania

TanTrade Fostering Business

WATUMISHI WA TANTRADE WAPATA MAFUNZO YA "CULTURE CHANGE"

  • April 13, 2024

19 Machi 2024
Dar es Salaam

Watumishi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TANTRADE  leo tar 19 Machi Wameshiriki mafunzo ya Kubadilisha Utamaduni katika eneo la kazi.

Mafunzo haya ambayo yamefunguliwa na Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bi. Latifa M. Khamis na kuratibiwa na Kurugenzi ya Huduma za Taasisi, yamelenga kuwafanya Watumishi kujitambua, kutambua nafasi zao, kujua tabia na hulka na jinsi ya kufanya kazi pamoja kama timu ili kufikia malengo ya Taasisi.

Mafunzo hayo yametolewa na Dkt. Garvin N. Kweka kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Mkugenzi Mkuu wa TANTRADE Bi. Latifa Khamis akiwa katika picha ya pamoja baada ya hafla ya makabidhiano.

Kulia ni Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Tanzania Bw. Kim Sun Pyo, kushoto ni Bw Wohn Young ambae ni Mkurugenzi na Kamishna wa Biashara kutoka KOTRA, Mkurugenzi wa Huduma za Taasisi TanTrade Mary Fedilis pamoja na Naibu balozi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Korea nchini Tanzania Bw. Seungyun Lee.
nyingine
Katika picha ni Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE Bi. Latifa M. Khamis akimpatia zawadi Balozi wa Korea Kusini kwa Tanzania Mhe. Kim Sun Pyo wakati wa halfa fupi ya makabidhiano ya vifaa vya maonesho iliyofanyika leo tarehe 19/03/2024 katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es salaam